×

Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa 57:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hadid ⮕ (57:5) ayat 5 in Swahili

57:5 Surah Al-hadid ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 5 - الحدِيد - Page - Juz 27

﴿لَّهُۥ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَإِلَى ٱللَّهِ تُرۡجَعُ ٱلۡأُمُورُ ﴾
[الحدِيد: 5]

Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: له ملك السموات والأرض وإلى الله ترجع الأمور, باللغة السواحيلية

﴿له ملك السموات والأرض وإلى الله ترجع الأمور﴾ [الحدِيد: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni Yake mamlaka ya mbinguni na ardhini, na Kwake Mwenyezi Mungu ndiko mwisho wa mambo ya viumbe huko Akhera na Atawalipa wao kwa matendo yao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek