Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 6 - الحدِيد - Page - Juz 27
﴿يُولِجُ ٱلَّيۡلَ فِي ٱلنَّهَارِ وَيُولِجُ ٱلنَّهَارَ فِي ٱلَّيۡلِۚ وَهُوَ عَلِيمُۢ بِذَاتِ ٱلصُّدُورِ ﴾
[الحدِيد: 6]
﴿يولج الليل في النهار ويولج النهار في الليل وهو عليم بذات الصدور﴾ [الحدِيد: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anazitia saa za usiku zilizopungua ndani ya mchana na hivyo basi mchana ukaongezeka, na Anazitia saa za mchana ndani ya usiku, na hivyo basi usiku ukaongezeka. Na Yeye , kutakasika ni Kwake, ni Mjuzi wa yaliyomo ndani ya vifua vya viumbe Vyake |