Quran with Swahili translation - Surah Al-Mujadilah ayat 15 - المُجَادلة - Page - Juz 28
﴿أَعَدَّ ٱللَّهُ لَهُمۡ عَذَابٗا شَدِيدًاۖ إِنَّهُمۡ سَآءَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[المُجَادلة: 15]
﴿أعد الله لهم عذابا شديدا إنهم ساء ما كانوا يعملون﴾ [المُجَادلة: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Amewatayarishia hawa wanafiki adhabu iliyofikia upeo wa ukali na uchungu. Hakika wao ni mabaya sana yale waliokuwa wakiyafanya ya unafiki na uapaji mayamini ya urongo |