×

Wamefanya viapo vyao ni ngao, na wakaipinga Njia ya Mwenyezi Mungu. Basi 58:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mujadilah ⮕ (58:16) ayat 16 in Swahili

58:16 Surah Al-Mujadilah ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mujadilah ayat 16 - المُجَادلة - Page - Juz 28

﴿ٱتَّخَذُوٓاْ أَيۡمَٰنَهُمۡ جُنَّةٗ فَصَدُّواْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ فَلَهُمۡ عَذَابٞ مُّهِينٞ ﴾
[المُجَادلة: 16]

Wamefanya viapo vyao ni ngao, na wakaipinga Njia ya Mwenyezi Mungu. Basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: اتخذوا أيمانهم جنة فصدوا عن سبيل الله فلهم عذاب مهين, باللغة السواحيلية

﴿اتخذوا أيمانهم جنة فصدوا عن سبيل الله فلهم عذاب مهين﴾ [المُجَادلة: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wanafiki wameyafanya yale mayamini yao ya urongo ni kinga yao wasipate kuuawa kwa ukafiri wao na kuwazuia Waislamu wasiwapige vita na kuchukua mali yao. Na kwa ajili hiyo wanajizuia wao na kuwazuia wengine njia ya Mwenyezi Mungu, nayo ni Uislamu. Basi watapata adhabu yenye kudhalilisha Motoni kwa kufanya kiburi kwao kwa kujiepusha na kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na kwa kuzuia kwao njia Yake isifuatwe
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek