×

Fuata uliyo funuliwa kutoka kwa Mola wako Mlezi. Hapana mungu ila Yeye. 6:106 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:106) ayat 106 in Swahili

6:106 Surah Al-An‘am ayat 106 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 106 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿ٱتَّبِعۡ مَآ أُوحِيَ إِلَيۡكَ مِن رَّبِّكَۖ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَۖ وَأَعۡرِضۡ عَنِ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ﴾
[الأنعَام: 106]

Fuata uliyo funuliwa kutoka kwa Mola wako Mlezi. Hapana mungu ila Yeye. Na jitenge na washirikina

❮ Previous Next ❯

ترجمة: اتبع ما أوحي إليك من ربك لا إله إلا هو وأعرض عن, باللغة السواحيلية

﴿اتبع ما أوحي إليك من ربك لا إله إلا هو وأعرض عن﴾ [الأنعَام: 106]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Fuata, ewe Mtume, wahyi tuliokuteremshia, wenye maamrisho na makatazo ambayo, kubwa lake ni kumpwekesha Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, na kuita watu huko. Na usijali ushindani wa washirikina na madai yao ya urongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek