×

Na namna hivyo tunazisarifu Aya, na wao wakwambie: Umesoma. Na ili tuyabainishe 6:105 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:105) ayat 105 in Swahili

6:105 Surah Al-An‘am ayat 105 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 105 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَكَذَٰلِكَ نُصَرِّفُ ٱلۡأٓيَٰتِ وَلِيَقُولُواْ دَرَسۡتَ وَلِنُبَيِّنَهُۥ لِقَوۡمٖ يَعۡلَمُونَ ﴾
[الأنعَام: 105]

Na namna hivyo tunazisarifu Aya, na wao wakwambie: Umesoma. Na ili tuyabainishe kwa watu wanao jua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وكذلك نصرف الآيات وليقولوا درست ولنبينه لقوم يعلمون, باللغة السواحيلية

﴿وكذلك نصرف الآيات وليقولوا درست ولنبينه لقوم يعلمون﴾ [الأنعَام: 105]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kama tulivyowafafanulia washirikina, katika hii Qur’ani, hoja zilizo wazi juu ya jambo la kumpwekesha Mwenyezi Mungu, utume na marejeo ya Kiyama, tunawafafanulia hoja katika kila wasichokijua. Na hapo wanasema urongo, «Umejifunza kutoka kwa watu wa Kitabu!» Na ili tufafanue haki, kwa kuzileta aya, kwa watu wanaoijua na kuikubali na kuifuata, nao ni waliomuamini Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kile alichoteremshiwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek