Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 107 - الأنعَام - Page - Juz 7
﴿وَلَوۡ شَآءَ ٱللَّهُ مَآ أَشۡرَكُواْۗ وَمَا جَعَلۡنَٰكَ عَلَيۡهِمۡ حَفِيظٗاۖ وَمَآ أَنتَ عَلَيۡهِم بِوَكِيلٖ ﴾
[الأنعَام: 107]
﴿ولو شاء الله ما أشركوا وما جعلناك عليهم حفيظا وما أنت عليهم﴾ [الأنعَام: 107]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau Mwenyezi Mungu Alitaka wasishirikishe hawa washirikina hawangalishirikisha, lakini Yeye, Aliyetukuka, ni Mjuzi wa yatakayokuwa ya ubaya wa uchaguzi wao na kufuata kwao matamanio yaliyopotoka. Na hatukukufanya wewe ni mchunguzi wa kuwatunzia matendo yao wala hukuwa ni msimamizi wao wa kuwapangia maslahi yao |