×

Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu 6:2 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:2) ayat 2 in Swahili

6:2 Surah Al-An‘am ayat 2 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 2 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿هُوَ ٱلَّذِي خَلَقَكُم مِّن طِينٖ ثُمَّ قَضَىٰٓ أَجَلٗاۖ وَأَجَلٞ مُّسَمًّى عِندَهُۥۖ ثُمَّ أَنتُمۡ تَمۡتَرُونَ ﴾
[الأنعَام: 2]

Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هو الذي خلقكم من طين ثم قضى أجلا وأجل مسمى عنده ثم, باللغة السواحيلية

﴿هو الذي خلقكم من طين ثم قضى أجلا وأجل مسمى عنده ثم﴾ [الأنعَام: 2]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yeye Ndiye Ambaye Alimuumba baba yenu Ādam kutokana na udongo na nyinyi mnatokana na kizazi chake, kisha Akaandika muda wa kusalia kwenu katika uhai huu wa kilimwengu, na Akaandika muda mwingine maalumu hakuna aujuwao isipokuwa Yeye, Aliyetukuka na kuwa juu, nayo ni Siku ya Kiyama. Kisha nyinyi baada ya haya mnashuku juu ya uwezo wa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, wa kufufua baada ya kufa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek