×

Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema: Wallahi! Mola wetu Mlezi! Hatukuwa 6:23 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:23) ayat 23 in Swahili

6:23 Surah Al-An‘am ayat 23 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 23 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿ثُمَّ لَمۡ تَكُن فِتۡنَتُهُمۡ إِلَّآ أَن قَالُواْ وَٱللَّهِ رَبِّنَا مَا كُنَّا مُشۡرِكِينَ ﴾
[الأنعَام: 23]

Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema: Wallahi! Mola wetu Mlezi! Hatukuwa washirikina

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ثم لم تكن فتنتهم إلا أن قالوا والله ربنا ما كنا مشركين, باللغة السواحيلية

﴿ثم لم تكن فتنتهم إلا أن قالوا والله ربنا ما كنا مشركين﴾ [الأنعَام: 23]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kisha hayakuwa majibu yao, walipojaribiwa na kupewa mtihani kwa kuulizwa kuhusu washirika wao, isipokuwa walijitoa na wao na wakaapa kwamba wao hawakuwa ni wenye kumshirikisha yoyote na Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek