×

Na haiwafikii hata ishara moja katika ishara za Mola wao Mlezi ila 6:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:4) ayat 4 in Swahili

6:4 Surah Al-An‘am ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 4 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَمَا تَأۡتِيهِم مِّنۡ ءَايَةٖ مِّنۡ ءَايَٰتِ رَبِّهِمۡ إِلَّا كَانُواْ عَنۡهَا مُعۡرِضِينَ ﴾
[الأنعَام: 4]

Na haiwafikii hata ishara moja katika ishara za Mola wao Mlezi ila wao huwa wenye kuipa nyongo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما تأتيهم من آية من آيات ربهم إلا كانوا عنها معرضين, باللغة السواحيلية

﴿وما تأتيهم من آية من آيات ربهم إلا كانوا عنها معرضين﴾ [الأنعَام: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Makafiri hawa Ambao wanamshirikisha mwingine na Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, wamejiwa na hoja zilizo wazi na dalili dhahiri juu upweke wa Mwenyezi Mungu, Aiyetukuka na kuwa juu, na ukweli wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, juu ya utume wake na yale aliyokuja nayo. Lakini punde tu yalipowajia waliyaepuka na kukataa kuyakubali na wasiyaamini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek