×

Na watu wako wameikanusha, nayo ni Haki. Sema: Mimi sikuwakilishwa juu yenu 6:66 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:66) ayat 66 in Swahili

6:66 Surah Al-An‘am ayat 66 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 66 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَكَذَّبَ بِهِۦ قَوۡمُكَ وَهُوَ ٱلۡحَقُّۚ قُل لَّسۡتُ عَلَيۡكُم بِوَكِيلٖ ﴾
[الأنعَام: 66]

Na watu wako wameikanusha, nayo ni Haki. Sema: Mimi sikuwakilishwa juu yenu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وكذب به قومك وهو الحق قل لست عليكم بوكيل, باللغة السواحيلية

﴿وكذب به قومك وهو الحق قل لست عليكم بوكيل﴾ [الأنعَام: 66]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na waliikanusha hii Qur’ani makafiri kati ya watu wako, ewe Mtume; nayo ni kitabu chenye ukweli katika kila kilichokuja nacho, Waambie, «Mimi si mlinzi wala mtunzi juuu yenu. Mimi ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu, nawafikishia nyinyi yale niliotumwa nayo kwenu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek