Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 67 - الأنعَام - Page - Juz 7
﴿لِّكُلِّ نَبَإٖ مُّسۡتَقَرّٞۚ وَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ﴾
[الأنعَام: 67]
﴿لكل نبإ مستقر وسوف تعلمون﴾ [الأنعَام: 67]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kila habari ina kituo cha kutulia na kikomo cha kukomea, hapo haki na batili zitafunuka. Na mtajua, enyi makafiri, mwisho wa jambo lenu, itakaposhuka adhabu ya Mwenyezi Mungu kwenu |