×

Na hizo ndizo hoja zetu tulizo mpa Ibrahim kuhojiana na watu wake. 6:83 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:83) ayat 83 in Swahili

6:83 Surah Al-An‘am ayat 83 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 83 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَتِلۡكَ حُجَّتُنَآ ءَاتَيۡنَٰهَآ إِبۡرَٰهِيمَ عَلَىٰ قَوۡمِهِۦۚ نَرۡفَعُ دَرَجَٰتٖ مَّن نَّشَآءُۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٞ ﴾
[الأنعَام: 83]

Na hizo ndizo hoja zetu tulizo mpa Ibrahim kuhojiana na watu wake. Tunamnyanyua kwa vyeo tumtakaye. Hakika Mola Mlezi wako ni Mwenye hikima na Mwenye ujuzi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وتلك حجتنا آتيناها إبراهيم على قومه نرفع درجات من نشاء إن ربك, باللغة السواحيلية

﴿وتلك حجتنا آتيناها إبراهيم على قومه نرفع درجات من نشاء إن ربك﴾ [الأنعَام: 83]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hoja hiyo ambayo Ibrāhīm, amani imshukiye, aliwahoji nayo watu wake ndiyo hoja yetu tuliyomuongoza nayo mpaka hoja yao ikakatika. Tunamtukuza daraja tunayemtaka, miongoni mwa waja wetu, ulimwenguni na Akhera, Hakika Mola wako ni Mwenye hekima katika kuendesha mambo ya waja Wake, ni Mjuzi kuhusu wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek