Quran with Swahili translation - Surah At-Taghabun ayat 13 - التغَابُن - Page - Juz 28
﴿ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَۚ وَعَلَى ٱللَّهِ فَلۡيَتَوَكَّلِ ٱلۡمُؤۡمِنُونَ ﴾
[التغَابُن: 13]
﴿الله لا إله إلا هو وعلى الله فليتوكل المؤمنون﴾ [التغَابُن: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Ndiye Ambaye hukuna muabudiwa wa kweli isipokiuwa Yeye. Na kwa Mwenyezi Mungu tu na wategemee Waumini, kwa upweke Wake, katika mambo yao yote |