Quran with Swahili translation - Surah At-Tahrim ayat 1 - التَّحرِيم - Page - Juz 28
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِيُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَآ أَحَلَّ ٱللَّهُ لَكَۖ تَبۡتَغِي مَرۡضَاتَ أَزۡوَٰجِكَۚ وَٱللَّهُ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[التَّحرِيم: 1]
﴿ياأيها النبي لم تحرم ما أحل الله لك تبتغي مرضات أزواجك والله﴾ [التَّحرِيم: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ewe Mtume! Mbona unajizuia nafsi yako na halali Aliyokuhalalishia Mwenyezi Mungu kwa kuwa unataka kuwaridhisha wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kukusamehe, ni Mwenye huruma kwako |