Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 4 - المُلك - Page - Juz 29
﴿ثُمَّ ٱرۡجِعِ ٱلۡبَصَرَ كَرَّتَيۡنِ يَنقَلِبۡ إِلَيۡكَ ٱلۡبَصَرُ خَاسِئٗا وَهُوَ حَسِيرٞ ﴾
[المُلك: 4]
﴿ثم ارجع البصر كرتين ينقلب إليك البصر خاسئا وهو حسير﴾ [المُلك: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha rudia kuangalia tena, mara baada ya mara, yatakurudia hayo macho yakiwa manyonge na matwevu hayakuona upungufu wowote na hali yakiwa ni yenye usumbufu na uchovu |