×

Mtapitapi, apitaye akifitini 68:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qalam ⮕ (68:11) ayat 11 in Swahili

68:11 Surah Al-Qalam ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 11 - القَلَم - Page - Juz 29

﴿هَمَّازٖ مَّشَّآءِۭ بِنَمِيمٖ ﴾
[القَلَم: 11]

Mtapitapi, apitaye akifitini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هماز مشاء بنميم, باللغة السواحيلية

﴿هماز مشاء بنميم﴾ [القَلَم: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
mrongo sana, mtwevu, msengenyaji watu, anayetembea baina yao kwa kuchochea ugomvi na kuchukua maneno ya baadhi yao kuwapelekea wengine kwa lengo la kuharibu baina yao, bahili wa mali mwenye uchoyo wa kuyatumia katika njia ya haki
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek