Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 110 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿يُرِيدُ أَن يُخۡرِجَكُم مِّنۡ أَرۡضِكُمۡۖ فَمَاذَا تَأۡمُرُونَ ﴾
[الأعرَاف: 110]
﴿يريد أن يخرجكم من أرضكم فماذا تأمرون﴾ [الأعرَاف: 110]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Yuwataka kuwatoa nyinyi nyote kwenye nchi yenu.» Fir'awn akasema, «Mnanipa shauri gani, enyi watu watukufu, juu ya mambo ya Mūsā?» |