Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 109 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالَ ٱلۡمَلَأُ مِن قَوۡمِ فِرۡعَوۡنَ إِنَّ هَٰذَا لَسَٰحِرٌ عَلِيمٞ ﴾
[الأعرَاف: 109]
﴿قال الملأ من قوم فرعون إن هذا لساحر عليم﴾ [الأعرَاف: 109]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watukufu wa watu wa Fir'awn walisema, «Hakika Mūsā ni mchawi, anayatawala macho ya watu kwa kuwadanganya mpaka ikawaingia kwenye fikira zao kuwa fimbo ni nyoka, na kukiona kitu kinyume na vile kilivyo, na yeye ana ujuzi mwingi wa uchawi na ana uhodari nao |