Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 111 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالُوٓاْ أَرۡجِهۡ وَأَخَاهُ وَأَرۡسِلۡ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 111]
﴿قالوا أرجه وأخاه وأرسل في المدائن حاشرين﴾ [الأعرَاف: 111]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema waliohudhuria mjadala wa Mūsā miongoni mwa mabwana wa watu wa Fir’awn na wakubwa wao, «Mfanye Mūsā na Hārūn wangojee, na upeleke askari kwenye miji ya Misri na majimbo yake |