Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 125 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالُوٓاْ إِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا مُنقَلِبُونَ ﴾
[الأعرَاف: 125]
﴿قالوا إنا إلى ربنا منقلبون﴾ [الأعرَاف: 125]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walisema wachawi kumwambia Fir'awn, «Tuna uhakika kwamba sisi ni wenye kurejea kwa Mwenyezi mungu na kwamba adhabu Yake ni kali zaidi kushinda adhabu yako. Tutasuburi kikwelikweli leo kwa adhabu yako, tupate kuokoka na adhabu ya Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama |