×

Lakini tukiwaondolea adhabu mpaka muda fulani wao waufikie, mara wakivunja ahadi yao 7:135 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:135) ayat 135 in Swahili

7:135 Surah Al-A‘raf ayat 135 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 135 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿فَلَمَّا كَشَفۡنَا عَنۡهُمُ ٱلرِّجۡزَ إِلَىٰٓ أَجَلٍ هُم بَٰلِغُوهُ إِذَا هُمۡ يَنكُثُونَ ﴾
[الأعرَاف: 135]

Lakini tukiwaondolea adhabu mpaka muda fulani wao waufikie, mara wakivunja ahadi yao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما كشفنا عنهم الرجز إلى أجل هم بالغوه إذا هم ينكثون, باللغة السواحيلية

﴿فلما كشفنا عنهم الرجز إلى أجل هم بالغوه إذا هم ينكثون﴾ [الأعرَاف: 135]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Alipowaondolea adhabu Aliyoiteremsha kwao, mpaka muda ambao hapana budi wataufikia na waadhibiwe, ambapo hapo hakutawanufaisha kule kupewa muhula kuliotangulia na kuondolewa kwao adhabu mpaka wakati wa kufika kwake, punde si punde wanarudi kuvunja ahadi waliyomuahidi Mola wao na Mūsā na wanaendelea na kudumu na ukafiri wao na upotevu wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek