×

(Musa) akasema: Mola Mlezi wangu! Nisamehe mimi na ndugu yangu, na ututie 7:151 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:151) ayat 151 in Swahili

7:151 Surah Al-A‘raf ayat 151 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 151 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿قَالَ رَبِّ ٱغۡفِرۡ لِي وَلِأَخِي وَأَدۡخِلۡنَا فِي رَحۡمَتِكَۖ وَأَنتَ أَرۡحَمُ ٱلرَّٰحِمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 151]

(Musa) akasema: Mola Mlezi wangu! Nisamehe mimi na ndugu yangu, na ututie katika rehema yako. Nawe ni Mwenye kurehemu kushinda wote wenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال رب اغفر لي ولأخي وأدخلنا في رحمتك وأنت أرحم الراحمين, باللغة السواحيلية

﴿قال رب اغفر لي ولأخي وأدخلنا في رحمتك وأنت أرحم الراحمين﴾ [الأعرَاف: 151]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mūsā Alisema, ulipomfunukia udhuru wa ndugu yake na kujua kuwa yeye hakufanya uzembe katika kusimama imara juu ya amri ya Mwenyezi Mungu, «Mola wangu nisamehe ghadhabu zangu na umsamehe ndugu yangu yaliyopita kati yake na Wana wa Isrāīl, na ututie ndani ya rehema yako kunjufu, kwani wewe una huruma na sisi zaidi kuliko kila mwenye huruma.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek