Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 159 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَمِن قَوۡمِ مُوسَىٰٓ أُمَّةٞ يَهۡدُونَ بِٱلۡحَقِّ وَبِهِۦ يَعۡدِلُونَ ﴾
[الأعرَاف: 159]
﴿ومن قوم موسى أمة يهدون بالحق وبه يعدلون﴾ [الأعرَاف: 159]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na miongoni mwa Wana wa Isrāīl wanaotokana na jamaa za Mūsā kuna kundi la watu ambao wanasimama imara juu ya haki, wanawaongoza watu kwenye hiyo haki na wanafanya usawa katika kutoa uamuzi katika mambo yao |