Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 178 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿مَن يَهۡدِ ٱللَّهُ فَهُوَ ٱلۡمُهۡتَدِيۖ وَمَن يُضۡلِلۡ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡخَٰسِرُونَ ﴾
[الأعرَاف: 178]
﴿من يهد الله فهو المهتدي ومن يضلل فأولئك هم الخاسرون﴾ [الأعرَاف: 178]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yule ambaye Mwenyezi Mungu Anamuafikia kumuamini Yeye na kumtii, huyo ndiye aliyeafikiwa; na yule ambaye Anamuachilia Asimuafikiye, huyo ndiye mwenye hasara, mwenye kuangamia. Kuongoza na kupoteza kunatokana na Mwenyezi Mungu Peke Yake |