Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 181 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَمِمَّنۡ خَلَقۡنَآ أُمَّةٞ يَهۡدُونَ بِٱلۡحَقِّ وَبِهِۦ يَعۡدِلُونَ ﴾
[الأعرَاف: 181]
﴿وممن خلقنا أمة يهدون بالحق وبه يعدلون﴾ [الأعرَاف: 181]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na miongoni mwa wale tuliowaumba kuna kundi la watu bora wanaoongoka kwenye haki na wanaita watu waifuate, na kwa hiyo wanahukumu na wanafanyia watu uadilifu; na wao ni viongozi wa uongofu, kati ya wale ambao Mwenyezi Mungu Amewaneemesha kwa Imani na kufanya amali njema |