×

Na baina ya makundi mawili hayo patakuwapo pazia. Na juu ya Mnyanyuko 7:46 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:46) ayat 46 in Swahili

7:46 Surah Al-A‘raf ayat 46 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 46 - الأعرَاف - Page - Juz 8

﴿وَبَيۡنَهُمَا حِجَابٞۚ وَعَلَى ٱلۡأَعۡرَافِ رِجَالٞ يَعۡرِفُونَ كُلَّۢا بِسِيمَىٰهُمۡۚ وَنَادَوۡاْ أَصۡحَٰبَ ٱلۡجَنَّةِ أَن سَلَٰمٌ عَلَيۡكُمۡۚ لَمۡ يَدۡخُلُوهَا وَهُمۡ يَطۡمَعُونَ ﴾
[الأعرَاف: 46]

Na baina ya makundi mawili hayo patakuwapo pazia. Na juu ya Mnyanyuko patakuwa watu watakao wajua wote kwa alama zao, na wao watawaita watu wa Peponi: Assalamu Alaykum, Amani juu yenu! Wao bado hawajaingia humo, lakini wanatumai

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وبينهما حجاب وعلى الأعراف رجال يعرفون كلا بسيماهم ونادوا أصحاب الجنة أن, باللغة السواحيلية

﴿وبينهما حجاب وعلى الأعراف رجال يعرفون كلا بسيماهم ونادوا أصحاب الجنة أن﴾ [الأعرَاف: 46]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na baina ya watu wa Peponi na watu Motoni patakuwa na kizuizi kikubwa kinaitwa Al-A’rāf. Na juu ya kizuizi hiki kutakuwa na wanaume wanaowajuwa watu wa Peponi na watu wa Motoni kwa alama zao kama weupe wa nyuso za watu wa Peponi na weusi wa nyuso za watu wa Motoni. Wanaume hawa ni watu ambao vitendo vyao vizuri na viovu viko sawasawa, na wao wana matumaini ya kupata rehema ya Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka. Wanaume hao wa hapo Al-A’rāf watawaita watu wa Peponi kwa maamkuzi wakiwaambia, «Salamun 'alaykum»(Amani iwe juu yenu.) Watu hawa wa Al-A’rāf bado hawajaingia Peponi, na wao wana matumaini ya kuingia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek