Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 80 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿وَلُوطًا إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ أَتَأۡتُونَ ٱلۡفَٰحِشَةَ مَا سَبَقَكُم بِهَا مِنۡ أَحَدٖ مِّنَ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 80]
﴿ولوطا إذ قال لقومه أتأتون الفاحشة ما سبقكم بها من أحد من﴾ [الأعرَاف: 80]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mkumbuke, ewe Mtume, Lūṭ, amani imshukie, pindi aliposema kuwaambia watu wake, «Je, mnafanya kitendo kibaya kilichofikia upeo wa ubaya? Hakuna yoyote, miongoni mwa viumbe, aliyefanya kitendo hiko kabla yenu |