Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 83 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿فَأَنجَيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥٓ إِلَّا ٱمۡرَأَتَهُۥ كَانَتۡ مِنَ ٱلۡغَٰبِرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 83]
﴿فأنجيناه وأهله إلا امرأته كانت من الغابرين﴾ [الأعرَاف: 83]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Mwenyezi Mungu Akamuokoa Lūṭ, na wafuasi wake na adhabu, Alimuamuru auhame mji ule, isipokuwa mke wake, kwani yeye alikuwa ni miongoni mwa walioangamia, waliosalia ndani ya adhabu ya Mwenyezi Mungu |