Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 5 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿فَٱصۡبِرۡ صَبۡرٗا جَمِيلًا ﴾
[المَعَارج: 5]
﴿فاصبر صبرا جميلا﴾ [المَعَارج: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi vumilia, ewe Mtume, kule kufanya kwao shere na kutaka kwao wafikiwe na adhabu kwa haraka, uvumilivu usiokuwa na babaiko wala kumshtakia asiyekuwa Mwenyezi Mungu |