Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 4 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿تَعۡرُجُ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ إِلَيۡهِ فِي يَوۡمٖ كَانَ مِقۡدَارُهُۥ خَمۡسِينَ أَلۡفَ سَنَةٖ ﴾
[المَعَارج: 4]
﴿تعرج الملائكة والروح إليه في يوم كان مقداره خمسين ألف سنة﴾ [المَعَارج: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Malaika na Jibrili wanapanda kuenda Kwake, Aliyetukuka, kwa siku moja ambayo kadiri yake ni myaka elfu hamsini katika myaka ya duniani, nayo kwa aliyeamini ni kama muda wa Swala moja ya faradhi |