Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 2 - الجِن - Page - Juz 29
﴿يَهۡدِيٓ إِلَى ٱلرُّشۡدِ فَـَٔامَنَّا بِهِۦۖ وَلَن نُّشۡرِكَ بِرَبِّنَآ أَحَدٗا ﴾
[الجِن: 2]
﴿يهدي إلى الرشد فآمنا به ولن نشرك بربنا أحدا﴾ [الجِن: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr inalingania watu kwenye ukweli na uongofu, na sisi tukaiamini na kuifuata kivitendo, na hatutomshirikisha Mola wetu Aliyetuumba na yoyote katika kumuabudu |