Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 1 - الجِن - Page - Juz 29
﴿قُلۡ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ ٱسۡتَمَعَ نَفَرٞ مِّنَ ٱلۡجِنِّ فَقَالُوٓاْ إِنَّا سَمِعۡنَا قُرۡءَانًا عَجَبٗا ﴾
[الجِن: 1]
﴿قل أوحي إلي أنه استمع نفر من الجن فقالوا إنا سمعنا قرآنا﴾ [الجِن: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, «Mwenyezi Mungu Ameniletea wahyi kwamba kundi la majini walisikiliza kisomo changu cha Qur’ani, na baada ya kusikia walisema kuwaambia watu wao, «Sisi tumeisikia Qur’ani iliyopambika katika uzuri wa maneno yake, ufasaha wake, hekima zake, hukumuzake na habari inazozielezea |