Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 14 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلۡأَرۡضُ وَٱلۡجِبَالُ وَكَانَتِ ٱلۡجِبَالُ كَثِيبٗا مَّهِيلًا ﴾
[المُزمل: 14]
﴿يوم ترجف الأرض والجبال وكانت الجبال كثيبا مهيلا﴾ [المُزمل: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku itakapotikisika na kusukikasukika ardhi na majabali mpaka majabali yawe mlima wa mchanga wenye kutiririka na kupeperuka, baada ya kuwa kwenye hali ya ugumu na ukavu |