Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 4 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿أَوۡ زِدۡ عَلَيۡهِ وَرَتِّلِ ٱلۡقُرۡءَانَ تَرۡتِيلًا ﴾
[المُزمل: 4]
﴿أو زد عليه ورتل القرآن ترتيلا﴾ [المُزمل: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au ongeza zaidi ya nusu mpaka ufikie theluthi mbili. Na usome Qur’ani kwa utaratibu na utulivu, uzifafanue herufi na vikomo |