Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 48 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿فَمَا تَنفَعُهُمۡ شَفَٰعَةُ ٱلشَّٰفِعِينَ ﴾
[المُدثر: 48]
﴿فما تنفعهم شفاعة الشافعين﴾ [المُدثر: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi hayatawafalia neno maombezi ya wenye kuombea wote, miongoni mwa Malaika, Manabii na wengineo, kwa kuwa aombewaye ni yule aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu na akamuidhinisha mwenye kumuombea |