Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 28 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿وَظَنَّ أَنَّهُ ٱلۡفِرَاقُ ﴾
[القِيَامة: 28]
﴿وظن أنه الفراق﴾ [القِيَامة: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na yule ambaye yuko katika hali ya kufa akajua kwamba lile lililomshukia ni kuaga dunia, kwa kuwa anawaona Malaika wa mauti |