Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 27 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿وَقِيلَ مَنۡۜ رَاقٖ ﴾
[القِيَامة: 27]
﴿وقيل من راق﴾ [القِيَامة: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na wakasema baadhi ya waliohudhuria kuwaambia wengine, «Je kuna mtu wa kumzungua na kumpoza kutokana na hali hii aliyonayo?» |