Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 24 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿فَٱصۡبِرۡ لِحُكۡمِ رَبِّكَ وَلَا تُطِعۡ مِنۡهُمۡ ءَاثِمًا أَوۡ كَفُورٗا ﴾
[الإنسَان: 24]
﴿فاصبر لحكم ربك ولا تطع منهم آثما أو كفورا﴾ [الإنسَان: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi yavumilie maamuzi ya Mola Wako Aliyokupangia na uyakubali, na usonge mbele kufuata maamrisho yake ya Kidini, na usiwatii washirikina waliovama kwenye matamanio au waliokolea kwenye ukafiri na upotevu |