Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 10 - الأنفَال - Page - Juz 9
﴿وَمَا جَعَلَهُ ٱللَّهُ إِلَّا بُشۡرَىٰ وَلِتَطۡمَئِنَّ بِهِۦ قُلُوبُكُمۡۚ وَمَا ٱلنَّصۡرُ إِلَّا مِنۡ عِندِ ٱللَّهِۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴾
[الأنفَال: 10]
﴿وما جعله الله إلا بشرى ولتطمئن به قلوبكم وما النصر إلا من﴾ [الأنفَال: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Hakuufanya msaada huo usipokuwa ni bishara kwenu ya ushindi na ili nyoyo zenu zitulie na muwe na yakini ya kupata ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kwani ushindi watoka kwa Mwenyezi Mungu tu, si kwa ukali wa zana zenu na nguvu zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mshindi katika ufalme Wake ni Mwenye hekima katika upelekeshaji Wake na uwekaji sheria Wake |