Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 9 - الأنفَال - Page - Juz 9
﴿إِذۡ تَسۡتَغِيثُونَ رَبَّكُمۡ فَٱسۡتَجَابَ لَكُمۡ أَنِّي مُمِدُّكُم بِأَلۡفٖ مِّنَ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةِ مُرۡدِفِينَ ﴾
[الأنفَال: 9]
﴿إذ تستغيثون ربكم فاستجاب لكم أني ممدكم بألف من الملائكة مردفين﴾ [الأنفَال: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu kwenu siku ya Badr mlipoomba mpate ushindi juu ya adui yenu, Mwenyezi Mungu Akakubali maombi yenu kwa kusema, «Mimi nitawasaidia kwa Malaika elfu moja kutoka mbinguni wakifuatana hawa baada ya wengine |