Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 32 - الأنفَال - Page - Juz 9
﴿وَإِذۡ قَالُواْ ٱللَّهُمَّ إِن كَانَ هَٰذَا هُوَ ٱلۡحَقَّ مِنۡ عِندِكَ فَأَمۡطِرۡ عَلَيۡنَا حِجَارَةٗ مِّنَ ٱلسَّمَآءِ أَوِ ٱئۡتِنَا بِعَذَابٍ أَلِيمٖ ﴾
[الأنفَال: 32]
﴿وإذ قالوا اللهم إن كان هذا هو الحق من عندك فأمطر علينا﴾ [الأنفَال: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kumbuka, ewe Mtume, neno la washirikina miongoni mwa watu wako wakimuomba Mwenyezi Mungu, «Iwapo hili alilokuja nalo Muhammad ndio haki itokayo kwako, basi tuteremshie mawe kutoka mbinguni au tuletee adhabu inayoumiza.» |