×

Na wanapo somewa Aya zetu, wao husema: Tumesikia. Na lau tungeli penda 8:31 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:31) ayat 31 in Swahili

8:31 Surah Al-Anfal ayat 31 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 31 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿وَإِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِمۡ ءَايَٰتُنَا قَالُواْ قَدۡ سَمِعۡنَا لَوۡ نَشَآءُ لَقُلۡنَا مِثۡلَ هَٰذَآ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّآ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[الأنفَال: 31]

Na wanapo somewa Aya zetu, wao husema: Tumesikia. Na lau tungeli penda tunge sema kama haya. Haya si chochote ila hadithi za watu wa kale tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذا تتلى عليهم آياتنا قالوا قد سمعنا لو نشاء لقلنا مثل هذا, باللغة السواحيلية

﴿وإذا تتلى عليهم آياتنا قالوا قد سمعنا لو نشاء لقلنا مثل هذا﴾ [الأنفَال: 31]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na pindi wanaposomewa, hawa ambao walimkanusha Mwenyezi Mungu, aya za Qur’ani tukufu, wao husema kwa ujinga wao na kuikejeli kwao haki, «Tumeshalisikia hili hapo nyuma, na lau tunataka tungalisema maneno yafananayo na hii Qur’ani. Haikuwa Qur’ani hii unayotusomea, ewe Muhammad, isipokuwa ni maneno ya urongo ya watu wa kale
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek