Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 24 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ إِلَىٰ طَعَامِهِۦٓ ﴾
[عَبَسَ: 24]
﴿فلينظر الإنسان إلى طعامه﴾ [عَبَسَ: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na azingatie binadamu, vipi Mwenyezi Mungu Amekiumba chakula chake ambacho ndicho kinachoendeleza maisha yake |