Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘la ayat 18 - الأعلى - Page - Juz 30
﴿إِنَّ هَٰذَا لَفِي ٱلصُّحُفِ ٱلۡأُولَىٰ ﴾
[الأعلى: 18]
﴿إن هذا لفي الصحف الأولى﴾ [الأعلى: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Haya mlioosimuliwa ndani ya Sura hii ni miongoni mwa yaliyotajwa kimaana katika Kurasa zilizotangulia kuteremshwa kabla ya Qur’ani |