Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘la ayat 8 - الأعلى - Page - Juz 30
﴿وَنُيَسِّرُكَ لِلۡيُسۡرَىٰ ﴾
[الأعلى: 8]
﴿ونيسرك لليسرى﴾ [الأعلى: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tutakufanyia mapesi mambo yako yote; miongoni mwayo ni kukusahilishia kubeba majukumu ya utume na kuifanya nyepesi Dini uliyokuja nayo |