Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘la ayat 9 - الأعلى - Page - Juz 30
﴿فَذَكِّرۡ إِن نَّفَعَتِ ٱلذِّكۡرَىٰ ﴾
[الأعلى: 9]
﴿فذكر إن نفعت الذكرى﴾ [الأعلى: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wawaidhie kaumu zako, ewe Mtume, kwa namna tulivyokutayarishia ufanye kwenye wahyi ulioletewa, uwaongoze njia yenye kheri na wao na uwahusu kwa mawaidha yako wale wanaotarajiwa kuwaidhika nayo. Wala usijisumbue kuwashauri wale ambao mawidha hayawaathiri isipokuwa kuwatia ujeuri na kuwafanya wayakimbie |