Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shams ayat 12 - الشَّمس - Page - Juz 30
﴿إِذِ ٱنۢبَعَثَ أَشۡقَىٰهَا ﴾
[الشَّمس: 12]
﴿إذ انبعث أشقاها﴾ [الشَّمس: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi walipotoka wabaya zaidi wa kabila hilo kumchinja Ngamia. Mtume wa Mwenyezi Mungu’ Ṣāliḥ, amani imshukie |