Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shams ayat 13 - الشَّمس - Page - Juz 30
﴿فَقَالَ لَهُمۡ رَسُولُ ٱللَّهِ نَاقَةَ ٱللَّهِ وَسُقۡيَٰهَا ﴾
[الشَّمس: 13]
﴿فقال لهم رسول الله ناقة الله وسقياها﴾ [الشَّمس: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr akawaambia: «Tahadharini kumgusa kwa ubaya ngamia ambaye ni miujiza ilioletwa na Mwenyezi Mungu kwenu inayoonyesha ukweli wa Nabii wenu, na msizuie kinywaji chake. Yeye ana siku yake ya kunywa na nyinyi mna siku yenu maalumu ya kunywa.» Hilo likawa zito kwao |