Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 69 - يُونس - Page - Juz 11
﴿قُلۡ إِنَّ ٱلَّذِينَ يَفۡتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَ لَا يُفۡلِحُونَ ﴾
[يُونس: 69]
﴿قل إن الذين يفترون على الله الكذب لا يفلحون﴾ [يُونس: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, «Hakika wale ambao wanamzulia Mwenyezi Mungu urongo, kuwa Amejifanyia mwana na kumuengezea mshirika, hawatapata matakwa yao ulimenguni wala Akhera.» |